|
Karibu katika Web site hii. Hapa utajifunza mambo mengi yahusuyo
Kompyuta;
- Matengenezo na matumizi ya Kompyuta.
- Mafunzo na masomo mbalimbali.
- Matengenezo na matumizi ya Photocopy machine.
- Matengenezo na matumizi ya Binding machine / Spiral.
- Matengenezo na matumizi ya Faxing machine.
- Matumizi ya huduma mbalimbali za Sekretarial
Pia utajionea picha mbalimbali za ndani ya kituo hiki na maeneo mengine yanayoizunguka
jamii kwa ujumla..
Kozi zitolewazo Bofya hapa
|